MOTO MKUBWA WA UIMBAJI NA MAHUBIRI WAWAKA JANA HAPA LAMADI SIMIYU

Kwaya ya Kalago wakimtukuza Mungu kwa njia ya  uimbaji Jana



Zabroan Singers wakimsifu Bwana
Prince Amos akifanya vitu vyake jukwaani 

Mwinjilisti Albert  Carlos Akihubiri Katika Viwanja vya Mwalukonge hapo jana

Mwenyekiti wa Mkutano Ndugu Danniel Daudi Akihutubu
 

Mwalimu wa Masomo ya Kaya na Familia akifundisha






Watoto pia hawakukosekana

0 comments:

Post a Comment