MKUTANO WA INJILI LAMADI WAMALIZIKA KWA KISHINDO

Mkutano mkubwa wa Injili uliyokua ukiendesha na Muinjilisti Carlos Albert, katika Mkoa wa Simiyu Tanzania, ulimalizika kwa kishindo kikubwa sana hapo jana, na jumla ya 321 walibatizwa katika mkutano huo mkubwa ambao haujawahi kutokea katika Kitongoji cha Mwalukonge Simiyu. Mamia ya watu walifurika kusheherekea tukio hilo kubwa na la kihistoria. Kulikua na shamra shara kubwa sana za uimbaji pamoja na maombi ya kumshukuru Mungu kwa kuwezesha na kufanikisha mkutano huo mkubwa
Waimbaji wa Zablon Singers wakiimba wimbo wa ibada kuu

Fundi mitambo ndugu Georg akiweka mitambo sawa

Muinjilisti Carlos akiwasha moto mkubwa wa Injili


Sehemu ya umati uliofurika


Ndugu Daniel Daudi Akisoma mafungu ya Biblia

Ibada ya ubatizo katika ziwa Victoria


Wabatizwa wakipokea zawadi
Vijana wa Watafuta Njia wakifanya Program maalumu katika sherehe hizo

Prince Amos Akiimba "Kisha Nikaona" Live









0 comments:

Post a Comment